Mfanyakazi wa jamii ya kitamaduni
Familia na ulinzi wa vijana hufanyakazi kazi na familia za wahamiaji kwa malengo yafuatayo:
- kuwajulisha kuhusu sheria za DPJ
- kuwafahamisha jinsi mfumo unavyofanya kazi na rasilimali zilizopo
- kuwaunga mkono na kuwaelekeza pale inapotokea matatizo ya kifamilia
- kuongoza semina za uzazi.
Semina zetu za bure/Vikundi vya kubadilishana:
- Nafasi ya mzazi:Mzunguko wa mikutano tisa(9) kuhusu mada ya malezi katika muktadha wa uhamiaji Québec
- Rasilimali za familia(Semina ya mara moja ya mpango wa nafasi ya wuzazi):Uwasilishaji wa nyezo za usaidizi kwa familia za Granby na eneo lake
- Ushiriki wa baba(Semina ya mara moja ya mpango wa nafasi ya mzazi):Shuguli kwa akina baba,juu ya changamoto na fursa za kuwa baba mhamiaji huku Québec.
- Jinsi ya kufanya vinginevyo? Uzazi wa huruma;Vidokezo na mbinu za kusaidia maendeleo ya watoto.